4/27/2023 0 Comments Misale ya waumini pdfSala hizi zimetoka kanisa katoliki la Marekani MODS: Nimeshindwa kuposti thread hii kwenye jukwaa la dini sababu system inasema sina pointi za kutosha kuposti jukwaa hilo. ![]() ![]() Kumbuka kujua lugha ya kiingereza pekee hakutakusaidia ku-cite sala kwa lugha ya kiingereza kama hukujifunza/kufunzwa kwa lugha hiyo. Lakini hakikisha unasali kimya kimya usilete mkanganyiko na vurugu kwa wenzio katikati ya sala. ![]() Si vibaya ukianza kufanyia mazoezi kimya kimya ukienda nacho kanisani siku ya jumapili hata kwenye ibada ya kiswahili.
0 Comments
Leave a Reply. |
AuthorWrite something about yourself. No need to be fancy, just an overview. ArchivesCategories |